With Kathy Reinhardt and Eliamani Mbise

WOMEN OF VALUE

CONFERENCE 2024

People and culture

Kathy Reinhardt alizaliwa California katika familia ya wanajeshi.Kwasababu hiyo amesafiri miji mbalimbali nchini Marekani. Akiwa mtoto aliishi ufilipino pia.Aliwahi kuishi Ukraine kikazi.Amebahatika kufika Tanzania mara kadhaa.Amekuwa mzungumzaji katika The Rise Conference for women huko North Carolina na amekuwa mzungumzaji pia katika women of value conference kwa miaka mitatu mfululizo.

Baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika mwaka 2001,alihamia North Carolina mwaka 2003 ili aanze upya.Alifunga ndoa na mume wake wa sasa ambaye pia ni rafiki yake wa karibu sana Douglas mwaka 2004.Pamoja,wana watoto 4 na wajukuu 8. Kathy alisoma Liberty University na kufuzu mwaka 2018 kwa kupokea shahada ya uzamili na kupata leseni katika taaluma ya ushauri nasaha.Kwa sasa ameidhinishwa kufanya kazi huko North Carolina kama mshauri wa afya ya akili.Ni mbobezi katika kipengele cha kiwewe.Kathy anaendelea kujifunza namna gani ubongo hufanya kazi katika hali ya kiwewe ili aweze kuwasaidia na kuwaelewesha wateja wake.Anayo furaha kuwashirikisha wanawake yale yote ayajuayo ili wasaidike kutambua thamani yao na kupata ujasiri wa kupambana na changamoto za maisha.

woman wearing black scoop-neck long-sleeved shirt
woman wearing black scoop-neck long-sleeved shirt
Esther Bryce

Founder / Interior designer

woman in black blazer with brown hair
woman in black blazer with brown hair
Lianne Wilson

Broker

man standing near white wall
man standing near white wall
Jaden Smith

Architect

woman smiling wearing denim jacket
woman smiling wearing denim jacket
Jessica Kim

Photographer